tuwasiliane

Saturday, November 5, 2016

Riyad Mahrez wa Algeria kuwania tuzo la Fifa

Mahrez ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kuwa kwenye orodha
Mchezaji winga wa Algeria Riyad Mahrez ambaye aliisaidia klabu ya Leicester kushinda kombe la ligi kuu ya Uingereza msimu uliopita, ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kujumuishwa katika kundi la wachezaji wanaowania tuzo la mchezaji bora duniani.
Atang'ang'ania tuzo hilo pamoja na manyota Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Mshindi atatangazwa tarehe 9 mwezi Januari.
Mahrez pia amejumuisha kung'ang'ania tuzo la mchezaji bora la Ballon D'Or pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon.

No comments:

Post a Comment