tuwasiliane

Saturday, April 7, 2012

07 APR. BREAKING NEWZ;STEVE KANUMBA AFARIKI DUNIAHABARI ZA KUSTUSHA AMBAZO NIMEZIPATA HIVI PUNDE

KUTOKA RFA KUWA MSANII WA FILAMU STEVE KANUA AMEFARIKI DUNIA

BAADA YA KUPATA AJALI WAKATI AKITOKA KWENYE UKUMBI WA DAR LIVE,

KWA HABARI ZAID TUTAENDELEA KUKUJUZA

UPDATES;NIMEPATA TAARIFA KUWA KIFO CHAKE HAKIJATOKANA NA AJALI YA GARI ILA KIMETOKANA NA UGOMVI WA KIMAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE NI ALIKUWA NI MPENZI WAKE AMBAYE ALIMSUKUMA NA KUPOTEZA MAISHA NA KUANGUKA CHINI,AMBAPO DAMU NYINGI ZILIMTOKA KICHWANI,.TAARIFA ZAIDI AMBAZO HAZIJATHIBITISHWA ZINASEMA MWANAMKE HUYO NIMUIGIZAJI LULU

UPDATE;
Kutokana na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya kifo cha Kanumba, kwani walikua wote chumbani kama wapenzi, kabla ya mwanadada huyo kmwita ndugu wa kanumba na yeye kutoroka,
Sasa baada ya kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka mwanasheria wake afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila atakachoongea ili ushahidi usije ukapindishwa.
So polisi hawana budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzi mkali wa polisi.

4 comments: