tuwasiliane

Thursday, June 5, 2014

CHATU AKUTWA NYUMBANI KWA MTU,ARUSHA MCHANA WA LEO


 


Kwa mujibu wa chanzo chetu nyoka huyo mkubwa maarufu kwa jina la chatu alikutwa kwenye nyumba moja huko sakina maeneo ya Motel 2000,Arusha mjini.Chanzo chetu kinaendelea kudai kuwa mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae wa kwanza.

 
 Mwenye nyumba anaitwa Magesa ana kampuni ya clearing and fowarding inasemekana  ni tajiri na ni mtu wa dini sana.pembeni ya nyoka imekutwa karatasi imeandikwa maandishi ya kiarabu kiarabu..
Wananchi wameamua kumuua tu

No comments:

Post a Comment