tuwasiliane

Friday, February 19, 2016

Matokeo ya mechi za Europa ligi

Michuano ya kombe la Europa ligi ilianza kutimua vumbi kwa viwanja kumi na mbili kuwaka moto.Man United wakicheza ugenini huko nchin Dernmark wamechapwa kwa mabao 2-1 na timu ndogo ya Midtjylland.
Man United, walipata pigo baada ya kipa wake namba moja David de Gea kuumia Enka wakati akipasha mwili moto na nafasi yake kuchukuliwa na Kipa wa Argentina Sergio Romero.
Borrusia Dotmund wakiwcheza katika uwanja wao wa nyumbani wakapata ushindi wa 2-0 dhidi ya FC Porto
Matokeo mengine ni
Tottenham 1-1 Fiorentina
Valencia 6-0 Rapid Vienna.
Liverpool 0-0 Augsburg.
Anderlecht 1 –O lympiakos
Sevilla 3- 0 Molde
St Etienne 3-2 Basel
Villarreal 1- 0 Napoli
FC Sion 1-2 Sporting Braga
Galatasaray 1-1 Lazio
Marseille 0-1 Ath Bilbao

No comments:

Post a Comment