Magoli ya Ame Ali na Vicenti Barnabasi yamezidi kuitakatisha timu ya Mtibwa kwa kuipa ushindi mnono ugenini wa goli 2-0 dhidi ya Mbeya city kwa ushindi huo mtibwa wamefikisha point 13 na kuendelea kuongoza liki kuu Tanzania bara,mbele ya Azam na Yanga zenye point 10 kila mmoja
No comments:
Post a Comment