tuwasiliane

Wednesday, May 22, 2013

BREAKING NEWS: MTWARA KIMENUKA

Habari zilizotufikia kutoka Mtwara zinaeleza kuwa kumeibuka vurugu ambazo zimepelekea mabomu ya machozi na risasi za moto kutumika baada ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kusomwa bungeni na kueleza kuwa mradi wa gesi Mtwara utatekelezwa bila kutaja faida za moja kwa moja watakazozipata wananchi hao. Inadaiwa kuwa kwa sasa kauli mbiu ya wananchi walio katika maeneo hayo ni  "Gesi haitoki hata kwa bomba la…

No comments:

Post a Comment