BREAKING NEWZ;ASKARI WANNE WA JWTZ WAFARIKI KATIKA AJARI
Katika tukio lingine askari wanne wa jeshi la wananchi kikosi cha 41 KJ
wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari lao kupinduka
eneo la Kilimani hewa Nachingwea njiani kuelekea Mtwara kuongezea nguvu
jeshi la polisi kufuatia vurugu zilizotokea mkoani humo
SOURCE ITV
No comments:
Post a Comment