Hatimae Kanisa katoliki limempata kiongozi mpya atakaye chukuwa mahali Papa Benedict aliyejiuzuli.
Papa Mpya alichaguliwa katika duru ya tano ya
upigaji kura uliofanywa na makadinali 115 waliokuwa wakikutana katika
kanisa la Sistine Chapel huko Vatican , Roma.
PAPA MPYA NI KARDINAL MARIO BERGODIO KARDINAL WA ARGENTINA, ATAKUWA AKITUMIA PAPA FRANSICO 1
WASIFU WA PAPA MPYA
PAPA MPYA
Jina la Kuzaliwa: Jorge Mario Bergoglio
Tarehe ya Kuzaliwa: 17 December 1936 (age 76) Buenos Aires, Argentina.
Ni papa wa 266 wa Kanisa Katoliki aliechaguliwa Machi 14, 2013, na
kuchukua jina la kipapa Francis baada ya Mtakatifu Francis wa Assisi.
Yeye ni Papa wa kwanza kuzaliwa Amerika.
Kabla ya kuchaguliwa kwake:
Yeye aliwahi kuwa Kardinali Argentina katika Kanisa Katoliki. Ametumika kama Askofu Mkuu wa Buenos Aires tangu 1998.
No comments:
Post a Comment