WANAKILOSA WATEMBELEA WAGONJWA LEO
hatimaye kikundi cha WANAKILOSA kimefanikiwa kuenda kuwatembelea
wagonjwa katika hospitali ya wilaya na kupeleka zawadi mbali mbali kama
inavyoonekena pichan.
wadau wanawashukulu wote ambao walitoa
michango yao ili kufanikisha shughuli ya leo. pia hospital tumekutana na
changamoto mbalimbali ambazo zinawakabili wagonjwa kwa mfano, wagonjwa
ambao walikuwa katika wodi ya watoto walikuwa wameugua moto, ila wakawa
hawana pesa ya kuweza kununua dawa, mdau mwenzetu saed huwel ametoa
35000 ili kuweza kununuliwa kwa dawa za watoto hao, ila dawa hizo ambazo
zimenunuliwa leo,haziwezi kuwatosha wagonjwa, kwa hiyo michango ili
kulifanikicha hilo
baada ya kutoka hospital tuliweza kukutana
na kupnga mabo mbalimbali, kesho tutaenda kumpatia baiskel mtoto mremavu
ambaye anakaaa behewa,baada ya kutoka behewa tutakutana ili tuweze
kuanza mchakato wa kuandika katiba yetu. pia WANAKILOSA tumekubaliana kuanza kutafuta watoto ambao wanajiweza kimasomo ila hawana uwezo wa kulipa ada ili tuwalipkuanzia mwaka huu.
No comments:
Post a Comment