tuwasiliane

Wednesday, January 2, 2013

BREAKING NEWZ; SAJUKI AMEFARIKI DUNIA

Msanii nguli wa filamu nchini Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo hii katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anatibiwa. Kwa taarifa zaidi kuhusu na taarifa za mazishi endelea kutembea mtandao huu.

No comments:

Post a Comment