tuwasiliane

Wednesday, January 2, 2013

KOCHA MPYA WA SIMBA ALIVYOINGIA MKATABA JANA

    Kocha mpya Simba Patrick liewig akiupitia mkataba wake kabla ya kuusaini.
   Kocha mpya Simba Patrick liewig akisaini mkataba wa miezi 18 kuifundisha Simba mbele ya Makamu Mwenyekiti Geofrey Nyange pamoja na katibu mkuu wa Simba Bwana Evodius Mtawala.
 Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange akiweka saini kwenye mkataba.
   Geofrey Nyange 'Kaburu ' na kocha mpya wa Simba wakibadilishana mikataba.
   Mwanasheria wa klabu ya Simba bwana Alan Maduhu akiweka muhuri kwenye mkataba
   Jamhuri Kiwhelu 'Julio ' akiwa pamoja na kocha mpya wa Simba Patrick Liewig.

No comments:

Post a Comment