hatimaye ile ahadi ambayo tuliitoa jana kupitia mtandao huu huu,wa kwenda kukabidi baiskeli kwa kijana Francis due mendrad wa behewa kilosa leo imekamilika.
WANAKILOSA tumeweza kulifanikisha hilo ambapo kijana Francis Due alikabidhiwa baiskeli yake na WANAKILOSA, ambapo bwana Ramadhan Imiri,Edwin Mwombeki,Seif Simba,Masud Imiri, waliwawakilisha wanakilosa wengine. KIjana Francis anasoma katika shule ya sekondari Pugu. WANAKILOSA wamekabidhi baiskeli hiyo ambayo imetolewa na wafadhili ambao wapo SAUD ARABIA
hongereni sana. It's a good start.
ReplyDeleteitz gud
ReplyDelete