tuwasiliane

Tuesday, January 1, 2013

HATIMAYE BRIAN UMONY AWASILI, KUICHEZEA AZAM FC


Mshambuliaji Brain Umony wa Azam FC alipowasili Uwanja wa Ndege JNIA leo asubuhi, na kupokelewa na meneja wa timu Patrick Kahemele


hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa azam fc kutoka uganda brian umony amewasili leo asubuhi jijini dar es salaa. taarifa ambazo azam fc wamezitoa kupitia mtandao wao amewasili leo saa tan asubuhi 

No comments:

Post a Comment