tuwasiliane

Wednesday, July 18, 2012

18 JUL. SIMBA 3 PORTS 0 FULL TIME


SIMBA IMEWEZA KUFUFUA NAFASI YAKE YA KUCHEZA ROBO FAINALI YA KAGAME CUP BAADA YA KUIFUNGA PORTS YA DJIBOUT GOLI 3 KWA 0 MAGOLI YA SIMBA YALIPATIKANA KATIKA KIPINDI CHA PILI WAFUNGAJI WAKIWA ABDALA JUMA ALIYEFUNGA GOLI 2 NA FELIX SUNZU ALIYEFUNGA GOLI 1

KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA KUNDI HILO TIMU YA URA YA UGANDA IMEWEZA KUKATA TIKETI YA KUCHEZA ROBO FAINALI YA MICHUANO HIYO BAADA YA KUIFUNGA VITA YA DRC KWA GOLI 3 KWA 1

No comments:

Post a Comment