
Shomari Kapombe akipokea tuzo ya mchezaji bora chipukizi 2011
Beki chipukizi wa kutumainiwa toka katika timu ya mabingwa wa Tanzania Simba SC, Shomari Kapombe jana usiku amefanikiwa kuondoka na tuzo mbili katika tuzo za wanamichezo bora wa mwaka 2011 zinazotolewa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA.
Kapombe alitwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na mwanamichezo bora wa mwaka 2011. Utolewaji wa Tuzo hizo zilizo dhaminiwa na SBL kupitia kinywaji cha Serengeti zilifanyika jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kushuhudia wafuatao wakipokea tuzo:
1. OLIMPIKI MAALUM-Zanzibar: Ahmada Bakar
2. OLIMPIKI MAALUM-TANZANIA BARA: HERITH SULEIMAN
3. PARALIMPIKI-WANAUME: ZAHARANI MWENEMTI
4. PARALIMPIKI-WANAWAKE: FAUDHIA CHAFUMBWE
5. KIKAPU-WANAUME: GEORGE TARIMO
6. KIKAPU WANAWAKE: EVODIA KAZINJA
7. NETIBOLI: LILIAN SYLIDION
8. GOFU WANAWAKE: MADINA IDDI
9. GOFU WANAUME: Frank Roman
10. NGUMI ZA RIDHAA: SULEIMAN SALUM KIDUNDA
12. WAOGELEAJI MWANAMKE: MAGDALENA MOSHI
13. WAOGELEAJI MWANAUME: AMMAAR GHADIYALI
14. JUDO: AZZAN HUSSEIN KHAMIS (ZANZIBAR)
15. JUDO BARA: MBAROUK SELEMANI
16. WAVU WANAWAKE: THERESIA ABWAO
17. WAVU WANAUME: MBWANA ALLY
18. NGUMI ZA KULIPWA: Nasibu Ramadhan
19. TENISI Wanaume: WAZIRI SALUMU
20. TENISI WANAWAKE: REHEMA ATHUMANI
21. BAISKELI (Wanawake): Sophia Hussein
22. BAISKELI WANAUME: Richard Laizer
23. WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE: Mbwana Samatta
24. MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI: SHOMARI KAPOMBE (soka) SIMBA
25. MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA: Emmanuel Okwi-Simba
26. SOKA (WANAWAKE): MWANAHAMISI OMARI
27. SOKA WANAUME: Aggrey Morris-Azam
28. RIADHA WANAWAKE: Zakia Mrisho
29. RIADHA WANAUME: Alphonce Felix
30. MIKONO WANAUME: Kazad Monga-Magereza Kiwira, Faraji Shaibu Khamis- Nyuki Zbar
31. MIKONO WANAWAKE: Zakia Seif-Ngome Dar
32. Kriketi WANAWAKE: Miss. Monika Pascal
33. KRIKETI WANAUME: Mr. Kassimu Nassoro
34. TUZO YA HESHIMA: KIKOSI KILICHOFUZU FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA 1980
35. MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011: SHOMARI KAPOMBE
No comments:
Post a Comment