
Kocha mkuu wa timu ya Real Madrid,Jose Mourinho amesema kiungo mshambuliaji wa timu yake,mbrazil kaka atakosekana ktk mechi ya champions league dhidi ya Dinamo Zagrebu itakayofanyika leo siku ya jummanne ,amesema kaka bado hajapona vizuri majeraha ambayo aliyapata wakati wa mechi ya ligi kuu ya nchi hiyo dhidi ya Real Sociedad kwahiyo ataendelea kuuguza majeraha hadi apone kwa 100%,pia Mourinho ameseme wachezaji Ricaldo Calvalo,Agel di Maria na Alvaro Arbaloa watakosa mchezo huo.Mourinho aliendelea kusem kuwa mchezaji Sergio Ramos Hajajua kuwa atamuanzisha au hatamuanzisha inategemea na fomesheni atakayoitumia siku hiyo ya mechi.Aliendelea kusema kuwa tunaongoza group la 4,kwa alama 12 baada ya kushinda mechi 4,kwa hiyo tunataka kuedeleza ushindi.
Katika mechi ya kwanza iliyozikutanisha timu hizo Madrid ilishinda 1-0
No comments:
Post a Comment