tuwasiliane

Tuesday, November 22, 2011

22 NOV. MANCIN;HATUWEZI KUMUUZA TEVES KWA BEI YA HASARA


Kocha mkuu wa matajiri wa England,Man City,Robert Mancin amesema mshambuliaji wa timu hiyo kutoka Argentina,Carlos Teves hawezi kuuzwa kwa bei ya hasara licha ya mchezaji huyo kuondoka england na kurudi kwao Argentina bila ya ruhusa ya club yake.Teves alirudii kwao baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa na club hiyo baada ya kugoma kuingia dakika za majeruhi ktk mechi ya champions league dhidi ya Bayern Munich
Teves ni mshambuliaji mzuri sana licha ya utovu wake wa nidhamu ambao ameuonesha hivi karibu aliiambia kituo cha television cha Rai Due

No comments:

Post a Comment