
mabingwa wanaoshikilia ubingwa wa Bundersliga wametangaza mafanikio ambayo club yao imepata ktk msimu huu,mtendaji mkuu wa club hiyo,Hans-Joachim ametanga kwa vyombo vya habari mapato yameongezeka kwa 37% ukifananisha na yale waliyopata mwaka uliopita kwani yameongezeka kutoka euro 110 kwa mwaka jana hadi kufikia euro 151 kwa mwaka huu,mtendaji huyo aliwapongeza wachezaji kwa kufanikiwa kuchukuwa kombe na kupata ongezeko la faida
No comments:
Post a Comment