
Aliyewahi kuwa kocha wa Chelsea ya na timu ya taifa ya Uturuki amesema amevutiwa na mkataba ambao ameahidiwa kupewa na matajiri wa Urussi ila bado anafikiria suala la kufanya uamuzi wa kujiunga na club hiyo ya Russia,hiddick mwenye umri wa miaka 65 ameshawahi kuifundisha timu ya taifa ya Russia tangu mwaka 2006 hadi 2010
No comments:
Post a Comment