tuwasiliane

Friday, December 30, 2016

Juuko afiwa na mwanaye

Kwa mujibu wa habari kutoka Uganda, mtoto huyo wa kiume, aliyepewa jina la Murshid Jr. amefariki baada ya kuishi kwa siku tatu tangu azaliwe.
Mazishi yamefanyika leo ikiwa ni siku ambayo kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kinatarajiwa kuelekea Tunisia kupiga kambi ya maandalizi ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Mke wa Juko aitwaye Ruth alijifungua watoto watatu siku ya Jumatatu,wawili wakike waliosalia na mmoja wa kiume.
blog hii inampa pole Juko  kwa msiba huo.

No comments:

Post a Comment