tuwasiliane

Friday, December 11, 2015

TP Mazembe kukutana na Sanfrecce Hiroshima

Mazembe
Mabingwa wa Afrika TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watakutana na timu ya Sanfrecce Hiroshima kutoka Japan hatua ya robofainali fainali za Kombe la Dunia la Klabu Jumapili.
Washindi wa ligi ya Japan Sanfrecce Hiroshima wamelaza mabingwa wa Oceania Auckland City 2-0 jana alhamis kwenye mechi iliyochezewa Yokohama.

No comments:

Post a Comment