tuwasiliane

Friday, December 11, 2015

Ligi kuu England kuendelea,kuendelea wikiend hii

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa, ambapo jumamosi
Norwich cty itaikaribisha Everton,Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Southampton, Man City watawaalika Swansea city , Sunderland watawakaribisha Watford, West Ham united itakuwa nyumbani dhidi ya Stoke city,na Bournemouth wataikabili Man United.Na jumapili ligi hiyo itaendelea tena kw amichezo mitatu amapo Aston Villa watakuwa wenyeji dhidi ya Arsenal, Liverpool watakuwa nyumbani Anfield dhidi ya West Brom,na Tottenham watawaalika Newcastle united.

No comments:

Post a Comment