tuwasiliane

Sunday, August 3, 2014

TANZANIA KWANZA;BAKHRESA ATOA JEZI NA TIKETI 400 KWA WATANZANIA WAISHIO MSUMBIJI ILI KUISHANGILIA STARS LEO


Kwa mujibu wa page ya Azam fc imeripoti kuwa   Kampuni ya Bakhresa Group imesafirisha jezi za Taifa Stars takribani 400 na kununua ticketi za kuingilia uwanjani 400 kwa ajili watanzania waishio Msumbiji. Pia wanamshukuru Mkurugenzi wa Nagy Transport, Mampuni ya kitanzania ya usafiri wa mabasi inayofanya kazi maputo kwa kuandaa mabasi ya kutosha... Leo Msumbiji lazima akae. Mungu ibariki Tanzania

No comments:

Post a Comment