tuwasiliane

Saturday, July 5, 2014

PIGO BRAZIL;NEYMAR KUKOSA MECHI ZOTE ZILIZOSALIA

Neymar ruled out of World Cup with broken vertebra

Mshambuliaji wa Brazil Neymar atakosa michezo iliyobaki ya World Cup baada ya kuumizwa uti wa mgongo ktika mechi ya robo fainali dhidi ya  Colombia.

Dactari wa timu ya taifa ya Brazil Rodrigo Lasmar amethibitisha habari hizo kwenye kituo cha taifa cha television ya nchi hiyo Brazilian TV,baada ya star huyo wa timu ya  Barcelona kufanyiwa vipimo zaidi katika hospital ya Fortaleza

Lasmar amesema: "sio rahisi kuwaambia habari hizi lakini ukweli ni kwamba Neymar hawezi kucheza mechi zote zilizosalia za world cup.

"vipimo vinaonesha kuwa kuna mpasuko karibu na sehemu ya tatu ya  vertebra. Haihitaji upasuaji lakini anatakiwa kupumzika ili kuweza kucontrol maumivu . Hawezi kucheza, wiki moja haitomtosha kuwa mzima.

"Anahitaji muendelezo wa matibabu,huku akifungiwa mkanda mgongoni kwakwe kwa ajili ya kumuweka sawa. ."

source.www.goal.com/en

No comments:

Post a Comment