tuwasiliane

Sunday, July 6, 2014

ARGENTINA YATINGA NUSU FAINALI YAIPIGA UBELGIJI 1-0

Shujaa; Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kulia akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya nane dhidi ya Ubelgiji katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Dunia leo Uwanja wa Nacional mjini Brasilia, Brazil. Argentina imekwenda Nusu Fainali.

No comments:

Post a Comment