tuwasiliane

Wednesday, June 25, 2014

WORLD CUP YAUNGUZA TV YA BLOGA WETUAMA kweli bidhaa za kichina majanga,baada ya kufuatilia game mfululizzo za world cup hatimaye imeungua yenyewe,Tv hiyo ambayo bloga alinunua tangu akiwa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino-Malimbe mwanza,imeungua leo baada ya kumaliza kuangalia game ya Ivory coast vs greece.

No comments:

Post a Comment