tuwasiliane

Tuesday, June 17, 2014

WEMA SEPETU AKANA KUWA MJAMZITO


Mchezae filamu wa  Bongo Wema Sepetu amekana taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye ni mjamzito ila anatamani hali hiyo.Wema ambaye ni Girlfriend wa superstar wa musik tz Diamond platnumz alipost kama ifuatavyo kwenye page yake ya facebook
by @wemasepetu "Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant.... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi wangu...

No comments:

Post a Comment