tuwasiliane

Tuesday, June 24, 2014

UHOLANZI KUIKABILI MEXICO KTK RAUNDI YA PILI,MTOANO

 Uholanzi ilimaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi B kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mechi yao ya mwisho ya makundi.


Kufutia ushindi huo Uholanzi wanatuchana na mshindi wa pili katika kundi A yaani Mexico.
Huku Chile ikiratbiwa kuvaana na mshindi wa kundi A yaani Brazil katika mechi za maondoano .

No comments:

Post a Comment