tuwasiliane

Thursday, June 12, 2014

RASMI; CESC FABREGAS AJIUNGA NA CHELSEA

KIUNGO Cesc Fabregas amesaini Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 30.
Klabu hiyo ya Stamford Bridge imetangaza kwamba Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal amesaini mkataba wa miaka mitano na atavaa jezi namba nne. 
"Kwanza napenda kumshukuru kila mmoja wa FC Barcelona, ambako nimefurahia miaka mitatu ya ajabu,"amesema FabregasMake it official: Barcelona released an official statement thanking Fabregas for his time
 
 Taarifa rasmi: Barcelona imetoa taarifa ya kumshukuru Fabregas kwa muda ambao ameitumikia timu hiyo

No comments:

Post a Comment