tuwasiliane

Friday, June 20, 2014

IVORY COAST YAPIGWA 2-1 NA COLOMBIA

Ivory coast Jana imechapwa magoli 2-1 dhidi ya timu ya Tifa ya Colombia.Colombia walikuwa wakwanza kupata bao la kuongoza dakika ya 64 kupitia kwa James Rodriguez naa dakia ya 70 Juan Quintero aliiandikia colombia goli la pili. Ivory Coast ilipata goli lake la kufutia machozi kupitia kwa Gervinho dakika ya 74 kwa shuti kali baada ya kuwapiga chenga mabeki watatu wa Colombia
Colombia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 64 kupitia kwa James Rodriguez, na katika dakika ya 70 , Juan Quintero aliiandika bao la pili Colombia.
Ivory Coast ilifunga bao la kufutia machozi katika dakika ya 74 kupitia kwa  mchezaji wa zamani wa Asernal  Gervinho.
 Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya kila mchezaji. Alama zimetolewa chini ya 10.
Kikosi cha Colombia: Ospina 6, Armero 7 (Arias 72), Yepes 7, Zapata 6, Zuniga 6, Sanchez 6 Moreno 6, Aguilar 6 (Mejia 78), Ibarbo 6 (Quintero 53 7), Rodriguez 7, Cuadrado 8, Gutierrez 6.
Waliofunga magoli: Rodriguez 64, Quintero 70 Kikosi cha Ivory Coast: Barry 6, Boka 6, Bamba 6, Zokora 5, Aurier 7, Die 6 (Bolly 73), Tiote 6, Gervinho 6, Yaya Toure 6, Gradel 6 (Kalou 67 7), Bony 5 (Drogba 60 5).
Mfungaji wa goli: Gervinho 73
Mwamuzi: Howard Webb (England) 7
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2376#sthash.0NtpbArX.dpuf
aTembo wa pwani ya mgharibi mwa Afrika, timu ya taifa ya Ivory Coast wamechapwa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Colombia usiku huu.
Colombia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 64 kupitia kwa James Rodriguez, na katika dakika ya 70 , Juan Quintero aliiandika bao la pili Colombia.
Ivory Coast ilifunga bao la kufutia machozi katika dakika ya 74 kupitia kwa  mchezaji wa zamani wa Asernal  Gervinho.
 Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya kila mchezaji. Alama zimetolewa chini ya 10.
Kikosi cha Colombia: Ospina 6, Armero 7 (Arias 72), Yepes 7, Zapata 6, Zuniga 6, Sanchez 6 Moreno 6, Aguilar 6 (Mejia 78), Ibarbo 6 (Quintero 53 7), Rodriguez 7, Cuadrado 8, Gutierrez 6.
Waliofunga magoli: Rodriguez 64, Quintero 70 Kikosi cha Ivory Coast: Barry 6, Boka 6, Bamba 6, Zokora 5, Aurier 7, Die 6 (Bolly 73), Tiote 6, Gervinho 6, Yaya Toure 6, Gradel 6 (Kalou 67 7), Bony 5 (Drogba 60 5).
Mfungaji wa goli: Gervinho 73
Mwamuzi: Howard Webb (England) 7
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2376#sthash.0NtpbArX.dpuf

No comments:

Post a Comment