tuwasiliane

Saturday, May 3, 2014

HALI YA VYOO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOSA NI TETE

Vyoo katika hospital ya wilaya ya kilosa vipo katika uchafu  sana kama inavyoonekana pichan, picha ambazo zimepigwa kutoka katika warde ya grade 2 ambayo ni warde ya watu wenye uwezo kwa mujibu ya hospital hiyo lakin ndio vyoo vyake vinavyoonekana. mwandish wa blog hii alijaribu kuzungumza na baadhi ya wagonjwa ambao walikuwa wamelazwa katika hodi mbalimbali za hospital hiyo walimwambia hiyo ni hali ya kawaida sana,kwan kuna wodi ambazo hadi wadudu finye wanaatambaa kuelekea kwenye wodi

mwandishi wetu alifanya juhudi za kuweza kuwasiliana na D.M.O ili aweze kutoa ufafanuzi juu ya hilo ili aweze kutoa ufafanuzi ila alikuwa hapatikan

No comments:

Post a Comment