Hapa ndio kila kitu
tuwasiliane
Pages
HOME
MICHEZO KIMATAIFA
Sunday, January 12, 2014
COASTAL UNION NAYO YAANZA KWA USHINDI
Coastal Union (wenye jezi nyekundu) wameanza ziara yao ya Oman ljana kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Musannaa. Coastal ipo huko kwa ziara ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment