Baada ya kuzuiliwa kuhudhuria vikao vitano vya bunge, magwiji wa siasa
wa CHADEMA ambao ni mwiba kwa serikali ya CCM wameamua kutumia
muda wa siku hizo tano kupeleka ujumbe kwa wananchi jinsi CCM na
serikali yake wanavyoendesha nchi kibabe na kibaguzi ili wananchi waamue haki ifikapo 2015.
Ratiba:
Jumapili 21/04/2013 watatikisa Mwanza
jumanne 23/04/2013 watarindima Iringa
jumatano 24/04/2013 watatema cheche Mbeya
Baada ya kuzuiliwa kuhudhuria vikao vitano vya bunge, magwiji wa siasa wa CHADEMA ambao ni mwiba kwa serikali ya CCM wameamua kutumia
muda wa siku hizo tano kupeleka ujumbe kwa wananchi jinsi CCM na
serikali yake wanavyoendesha nchi kibabe na kibaguzi ili wananchi waamue haki ifikapo 2015.
Ratiba:
Jumapili 21/04/2013 watatikisa Mwanza
jumanne 23/04/2013 watarindima Iringa
jumatano 24/04/2013 watatema cheche Mbeya
No comments:
Post a Comment