BREAKING NEWZ;JAHAZI LAZAMA
BREAKING NEWS: Ajali ya Jahazi la 'SUNRISE'.
Jahazi la SUNRISE ambalo ilikuwa likitokea Mkoani Tanga kuelekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 limezama eneo la Nungwi.
Jitihada za kuwaokoa abiria hao zinaendelea kufanywa na maafisa wa
uokoaji na hadi sasa wameokolewa watu 20 na wengine 12 hawajulikani
walipo.
...
Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa taarifa zaidi.
Blog hii itaendelea kuwapa taarifa mbalimbali kuhusiana na ajali hii kadiri tukizipata
SOURCE: ITV
No comments:
Post a Comment