
[Marehemu DC Hawa Ngurume]
Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya za Kinondoni, Mbarali na Iringa Hawa Ngurume, amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.Imeelezwa kuwa Ngurume alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Figo, Kansa na vichomi.
No comments:
Post a Comment