tuwasiliane

Sunday, August 12, 2012

12 AUG.Muonekano mpya wa mwanadada LINAH!




Ni mwanadadada Linah, ameamua kuja kitofauti kidogo kwa kubadilisha muonekano wake.

Kwa wale waliomzoea...safari hii mnaweza hata kupishana nae na msimujue, haya sasa huu ndio muonekano wake mpya.

No comments:

Post a Comment