
Azam FC leo imemtambulisha kocha Boris Bunjak "BOCA" mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 kwenye fani ya ukocha kuwa kocha mkuu mpya wa Azam FC akirithi mikoba ya Stewart Hall aliyesafiri kwenda nchini Uingereza jana baada ya kuisha kwa mkataba wake
SOURCE;www.azamfc.co.tz
No comments:
Post a Comment