
MAGOLI MAWILI YALIYOFUNGWA NA MCHEZAJI WA MAN CITY MARIO BAROTEL KATIKA DK YA 20 NA 36 YAMEIWEZESHA TIMU YAKE YA TAIFA YA ITALI KUSHINDA MAGOLI 2-1 DHIDI YA UJERUMANI,KWA MATOKEO HAYO ITALY ITAKUTANA NA SPAIN KATIKA FAINALI AMBAYO ITACHEZWA SIKU YA JUMAPILI USIKU.
KATIKA MCHEZO WA JANA AMBAPO ULIANZA KWA KASI HUKU TIMU YA GERMANI IKIWA INACHEZA KWA KUJIAMINI SANA HUKU WASHAMBULIAJI WAKE WAKIOSA MAGOLI MARA KWA MARA,NDIPO ILOPOFIKA DK YA 20 SUPER MARIO BAROTEL ALIPOTIA KAMBA KWA KUUNGANISHA KROSI KWA KICHWA.
KAMA GOLI HILO HALITOSHI DK 16 BAADAE BAROTELI ALIFUNGA GOLI LA PILI BAADA YA KUWALAMBA CHENGA MABEKI WA GERMANI NA KUTIA KAMBA MURUA,HADI KIPINDI CHA KWANZA KINAMALIZIAKA GOLI ZILIKUWA 2-0.
KIPINDI CHA PILI KILIANZA KWA KASI SANA HADI DK 61 BAROTELI ALIPOUMIZWA NA KUTOLEWA UWANJANI,DK YA 91 GERMANI ILIPATA PENATI NA PENATI HIYO ILIWEZA KUFUNGWA VIZURI NA KIUNGO WAKE NA KUFANYA MATOKEO YA 2-1
No comments:
Post a Comment