
WAPENZI WA HAPA NDIO KILA KITU BLOG NAWAOMBA RADHI KWA KUTO POST UPDATES ZA MARA KWA MARA KWA KIPINDI HIKI.
NAWAOMBA SANA MNIVUMILIE BROGGER WENU NIKO BUSY KIDOGO NA MAANDALIZI YA MITIHANI YA KUMALIZA SEMISTER YA MWISHO CHUONI KWETU HALI INAYONIFANYA NIWE BUSY KIDOGO
NAPENDA SANA KUWAPA UPDATES ZA KILA MUDA BUT SHULE NDIO INANIBANA, NATEGEMEA KUANZA MTIHANI TAREHE 18/JUN HAD JUL 2. MNIOMBEE WADAU ILI NIKAZE NIFAULU NIWEZE KUCHUKUWA DEGREE YANGU
NAWAPENDA SANA WADAU KWA KUNIUNGA MONO KWA KUTEMBELEA HAPA NDIO KILA KITU
No comments:
Post a Comment