tuwasiliane

Wednesday, May 30, 2012

30 MAY. HABARI PICHA


Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) akiwa amezungukwa na walinzi kwenye Mahakama Kuu Dar es Salaam jana kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuhusishwa na kifo cha msanii mwenzake Steven Kanumba.

No comments:

Post a Comment