tuwasiliane

Wednesday, April 18, 2012

18 APR. MAGUFULI AKIMBIZWA ICU DODOMA



Nimepata habari hivi soon kua Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini na kufikia ICU straight mjini Dodoma ambapo shughuli na vikao vya bunge vinaendelea.

Alipofikishwa hospitalini hapo wataalam wamedai ni heart attack na bado wanaendelea na uchunguzi wa kina na matibabu ya kumsaidia muheshimiwa

No comments:

Post a Comment