
Mshambuliaji wa AC milan ambaye ameshawahi kuichezea Barcelona kwa msimu mmoja, anaamini kuwa mshambuliaji wa Barcelona ni mchezaji bora na ataendelea kuwa mshambuliaji bora katika dunia.
Zlatan Ibrahimovic anaamini kuwa tofauti ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuwa mshambuliaji huyo kutoka Argentine ana kipaji cha kipekee.
mshambuliaji huyu kutoka Sweden, ambaye amewahi kucheza na Messi katia kipindi ambacho alichezea msimu mmoja Barcelona mwaka 2009-10, kwa maoni hayo kuwa Ronaldo ni mchezaji mzuri,ila ana kazi kubwa ya kufikia mafanikio ambayo amefikia mwenzie kwa sasa .
"Leo Messi ni kipaji, wakati Cristiano Ronaldo ni matokeo ya mazoezi ya muda mrefu," Ibrahimovic aliiambia TV3.
Ingawa,mshambuliaji huyo wa AC Milan alisema kuwa Ronaldo ni mshambuliaji aliyakamilika , amethibitisha hayo katika mchezo wao dhidi ya Barcelon uliopigwaa Camp Nou that .
"Messi haitaji mguu wa kushoto, ingawa," Ibrahimovic amekiri. "anatumia mguu wa kushoto na ni mchezaji bora wa dunia'
"fikiria kakam angekuwa anatumia mguu wa kulia ... sisi [Milan] tungepata matatizo zaidi!"
Milan wanasubili mechi ya marudiano na Barcelona itakayopigwa leo siku ya jumanne saa 4.45 usiku
No comments:
Post a Comment