tuwasiliane

Tuesday, April 3, 2012

03 APR. HABARI PICHA



Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Highness Kiwia (kushoto) na Mbunge wa jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemli (kulia) wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada kujeruhiwa na kundi la watu mjini Mwanza. (Picha na habari leo).

No comments:

Post a Comment