
Mshabuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesama kuwa yeye kama mchezaji babo hajafikia kiwango anachokitaka.
Mshambuliaji huyo kutoka ureno amekuwepo kwenye kikosi cha Madrid tangu ahamie kutoka Manchester united kwa kiasi cha €94 million ktk mwaka wa 2009,hadi sasa ameweza kufunga magoli 131 katka michezo 132 aliyoichezea Los Blancos.
Anasema kabla hajaweza kufika umri wa miaka 30 lazima afanye mambo makubwa zaido,alinukuliwa Ronaldo.
"alisema kuwa nategemea kuwa kiwango changu kitaongezeka mwaka hadi mwaka", aliiambia TVI. "sijafanikiwa kabisa kufikia kiwango changu kama mchezeji.
"kwa sasa nashukuru kufikia hapa. mwakani,nitakuwa katika uwezo mzuri wa kufikiri na kufunga magoli zaidi.
"kiwango changu cha sasa ndicho nilichokuwa nakifikiria lakini bado sijafika sehemu ambayo nilizike.Nimefanikiwa kufikia hapa kwasababu najituma sana.
"mafanikio hayawezi kuja kwa miujiza. mafanikio huweza kuja kwa kukomaa na kujituma zaidi."
Ronaldo anaendelea kusema kuwa anafuraha na maisha ya Santiago Bernabeu na anaseama kuwa guaranteed hawezi kuondoka hapo labda kocha wake Jose Mourinho kumuuza ili kukabiliana na changamoto.
"Nataka kuwa na msimu mzuri na niumalize huo msimu vizuri,"alisema Ronaldo. "nataka niendelee kuwa t Madrid.
"mkataba wangu bado una miaka mitatu, ngoja niangalie klabu yangu inataka kunifanyia mimi kitu gani.
"Mourinho? I do not follow anyone, I always follow my own path and what I do is not based on friendships."
However, Ronaldo was full of praise for Mourinho, saying that his countryman is the best coach in the game.
"His titles speak for themselves," he noted. "He has won things wherever he has been. Not all coaches have the privilege to do what he has done.
"That is why I consider him the best. All great coaches need to succeed in different countries and he has done that.
"Many coaches are considered to be amongst the best and they could not succeed in different countries. I do not agree."
Portugal have been drawn in the 'Group of Death' for Euro 2012, along with Germany, Denmark and the Netherlands, but Ronaldo refused rule out progression for the Seleccao.
"We need to have a winning ambition and mentality," the 27-year-old noted. "If we go with a losing mentality, we will not achieve anything.
"I think this will be a complicated group, but we have a good team and a good coach and we will have the support of our fans, which is an extra source of motivation.
"I am confident. We will have to go step by step. The group stage is complicated, but if we go through anything is possible."
No comments:
Post a Comment