
Ujio mpya wa kiungo wa liverpool Steven Gelard umeisaidia timu hiyo baada wa kiungo huyo
kuifungia timu yake magoli yote matatu katika mchezo wa jana usiku
hiyo ni hatt trick yake ya kwanza katika msimu huu
kwa matokeo hayo liverpool imeendelea kukaa katika nafasi yake ya saba katika ligi na everton imeendelea kukaa nafasi yake ya 9
No comments:
Post a Comment