
Msanii nguli wa filamu nchini Steven Kanumba yupo mbioni
kukamilisha filamu mpya itakayokwenda kwa jina la 'Ndoa Yangu'.
Akizungumzia filamu hiyo itakayokuja kubamba wapenzi wengi kwa kuwa ina mafundisho ya hali ya juu katika jamii hususani wanandoa, hivyo kuwataka wapenzi wake wa filamu kukaa mkao
wa kula.
No comments:
Post a Comment