tuwasiliane

Friday, March 2, 2012

02 MARCH. Barnaba na Shindano la kumsaka GUBEGUBE!


Jamani natafuta binti atakae weza kucheza nafasi ya GUBEGUBE kwenye video yangu, ukitaka kushiriki katika shindalo la kumpata binti huyo, piga namba; +255 715 973697 Utapata maelezo yote

No comments:

Post a Comment