tuwasiliane

Saturday, February 4, 2012

04 FEB.Maadhimisho ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kufanyika kilosa


Fadhil Abdul akipamba bendera kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana ikiwa ni maandalizi ya maandamano (Dhafa) yatakayofanyika Jumamosi usiku katika mitaa mbalimbali ya jiji kusherehekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ambazo kitaifa zitafanyika Kilosa mkoani Morogoro. (Picha Habari leo)

No comments:

Post a Comment