tuwasiliane

Friday, February 3, 2012

03 FEB. BREAKING Newzzz WANAFUNZI SABA WAFARIKI KATIKA MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA KOROGWE GIRLS BAADA YA KUGONGWA NA GARI

Vifo hivyo vimetokea baada ya mwanafunzi aitwaye KIBIBI MMASA kuingia ndani ya gari la kaka yake lenye namba T489 AGJ na kuanza kulichezea,wakati akiwa ndani ya gari mara akaweka gia ya kurudi nyuma na kuanza kurudi nyuma kwa kasi ya 120 km kwa saa na kuwaparamia wanafunzi waliokuwa katika kusherekea mahafali hayo na kusababisha vifo hivyo.

SOURCE;www.thechoice.blogspot.com

No comments:

Post a Comment