
Anakwenda kwa jina la Diamond Platinum babyyyy, ni kama vile na yeye ameamua kufunga mwaka kwa style ya aina yake ..baada ya kurelease pini jipya liitwalo 'Nimpende Nani' teh teh teh mbona kazi kaka kwani hujui unayempenda tena mara hii!
Pini hili jipya limekuja wakati kuna beef la hatari kati ya kipenzi chake Wema Sepetu..na model wa hatari Jokate Mwigelo...Wema akimshutumu Jokate kwa kumuibia mwanaume wake.
Ndani ya pili hili sasa kichekesho ni kwamba Diamond kawaimba mademu wote hao wawili hahaha.
No comments:
Post a Comment